Jaji Mark Bomani ambaye mbali na kuwa ni Mwenyekiti wa Bodi ya SBL lakini pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Vyombo vya Habari nchini akifungua mkutano huo. Pamoja nae kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Tanzania Editors Forum (TEF) Bw. Absalom Kibanda, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa SBL, Bi. Teddy Mapunda na Katibu Mkuu wa TEF Be. Nevily Meena.
Wahariri wakisikiliza hotuba |
mimi nilikuwa najua mh.bomani amefungua mjadala wa ardhi ya wadanganyika inayogawia kwa wageni hovyo,au mjadala wa kuhoji mgawo wa umeme na maji,wahariri wanatusaidia nini ktk wakati huu,wanashindwa kuandika chochote kuhusiana na matatizo ya jamii zetu, wao ni siasa tuu.
ReplyDelete