Japan are FIFA Women’s World Cup champions for the first time after a penalty shootout victory over  USA, following a drama-charged 2-2 draw in Frankfurt.

Defender Saki Kumagai had the honour of hitting home the decisive spot-kick as Japan triumphed 3-1 in the shootout. USA were twice pegged back but it took Homare Sawa to equalise three minutes from the end of extra time to force penalties. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 18, 2011

    NASIKIA UMEME ULIZIMIKA KAMA SIMBA VS YANGA???

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 18, 2011

    Pamoja na referee kuwabania kinoma, vijana wa Japan hawakuvunjika moyo..Big-UP Japan!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 18, 2011

    UMEME HUKU KAMA KAWA KILA SIKU HATUNA

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 18, 2011

    MIMI NIPO ISTANBUL NIMEANGALIA MPIRA MWANZO MPAKA MWISHO UMEME HAUJAZIMIKA SIO DUNIA YA MWISHO KAMA MWITUNI HUKO GERMAN DUNIA YA KWANZA SAWA,REALY REFEREE ALIONYESHA USHENZI WAKE BAADA KUSEMA OFFSIDE NA SIO NA PIA KUMPA RED CARD MCHEZAJI WA JAPAN NA SIO FOUR YA RED CARD NI CARD YA NJANO TU PALE ASANTE WAMETUONYESHA MPIRA MZURI SANA NA PIA WAMEWEKA HISTORIA NZURI KABISA ULIMWENGUNI mdau bwegenaz

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 18, 2011

    Jamani mimi naomba kuuliza hawa kina dada wanavyosukuma mpira si wanaipiga timu yetu ya taifa ya wanaume??? No disrespect wala nini naomba tu maoni ya wadau..

    Make kuna mshikaji anakataa hata kidogo hakuna timu ya wanawake inaweza kuipiga timu ya mpira ya wanaume ya Bongo, mimi naona inawezekana sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...