Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Fimbo Buttallah (pili kulia) akipena mkono na Warembo watakaoshiriki mashindano ya Redd's Miss Ilala 2011 na kuwatakia kila la kheri katika kambi yao inayoanza leo kwenye hoteli ya Lamada,Ilala jijini Dar.kulia ni Mrembo anaemaliza muda wake,Bahati Chande.
Mtaalam wa Mambo ya Habari wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu akipena mkono na Warembo watakaoshiriki mashindano ya Miss Ilala 2011.Kulia ni Msimamizi wa Warembo hao,Sylvia Shally.
Warembo wakiwa katika picha ya pamoja na Wasimamizi wao.
kama mambo yenyewe ni haya tutaoa kweli?maana kila siku tunatangaziwa warembo,bongo tambarare wabeba box mpoooo,najua depoteee wanashangilia tuu
ReplyDeleteAhsante Kaka. Tumewaona.
ReplyDelete