King of Ashanti Kingdom of Ghana, Otumfuo Osei Tutu II during a Tete a tete with former President Benjamin William Mkapa |
King of Ashanti Kingdom of Ghana, Otumfuo Osei Tutu II pose with President Jakaya Kikwete and Former President Mzee Benjamin Mkapa and other dignitaries at the State House in Dar es salaam over the weekend
Natamani kama vazi lilivaliwa hapo lingekuwa la Kitanzania kuonyesha mgeni kukaribishwa kwetu na si kama vile Raisi wetu ametembelea Ashanti na kuvalishwa vazi lao...Tatizo la kutokuwa na vazi la Taifa ndio hili!
ReplyDeleteMavazi mengine hayafai. Hapo hiyo shuka ikikuteleza tu mambo yapo hadharani. Vazi la taifa ni lile la kumuwezesha mtu kuwa tayari wakati wowote kuingia vitani. Vipi utaweza kukimbia na shuka kama hilo. Hata JK kalishutukia.
ReplyDelete