Daniel akiwa na mdau wa kipindi cha daladala eneo la barabara ya nane. Kikiwa Tanga kipindi cha daladala kimezungumzia mustakabali wa Bandari ya Tanga, maswala ya elimu, mmomonyoko wa maadili n.k
Kwa picha zaidi tembelea http://www.ankomo.blogspot.com
 Mtangazaji wa kipindi cha Daladala daniel Kijo akiingia garini wakati wa kuanza kurekodi kipindi cha daladala ambapo safari hii kipo mkoani Tanga. Daladala hurusha na ITV kila siku kuanzia saa kumi na mbili na nusu mpaka saa moja. 
 Eldad Mark Film Director aliyevaa fulana ya rangi ya kijani akiwa na Deogratius Sizya Camera man wa kipindi cha Daladala pamoja na afisa wa elimu za sekondari wilaya ya Mkinga Bwana Kombo wakijiandaa na mahojiano.
 Bibi Kiroboto ambaye pia ni mtangazaji wa kipindi cha daladala akiwa na dereva wa daladala bwana Emanuel Zing. Aliyesimama ni mfanyakazi wa kiwanda cha Tanga Fresh Bi Winfrida Magawa aliyesimama. 
Eldad Mark Film Director wa kipindi cha daladala akiwa na Daniel Kijo wakiwa  Tanga  

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 19, 2011

    aomba mwandishi arekebishe,kwa sasa kipindi husika kipo ITV na sio TBC.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 19, 2011

    Hata mimi nikuwa najua kipo TBC1 na sio ITV.Naomba utupe malezo zaidi zaidi kama ni ITV au TBC1

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 20, 2011

    Inaelekewa wote wageni au labda mpo nje ya nchi- kipindi kwa sasa kipo ITV na hurushwa kila siku kuanzia saa kumi na mbili na nusu hadi saa moja. Mwandishi alikuwa sahihi. Muwe mnatazama TV wadau. Kipindi kiko ITV kwa sasa

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 20, 2011

    Duh picha namba moja kwenye daladala imeandikwa kipindi ITV KILA SIKU SAA 12:30 MPAKA SAA 1:00 kama hamfatilii muwe hata mnatazama picha kwa makini na sio kutoa comment bila ya uhakika. TBC kilishatoka

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 20, 2011

    We mchangiaji namba moja hiyo TBC imeandikwa wapi..? huoni au

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...