![]() |
Daniel akiwa na mdau wa kipindi cha daladala eneo la barabara ya nane. Kikiwa Tanga kipindi cha daladala kimezungumzia mustakabali wa Bandari ya Tanga, maswala ya elimu, mmomonyoko wa maadili n.k Kwa picha zaidi tembelea http://www.ankomo.blogspot.com |
Mtangazaji wa kipindi cha Daladala daniel Kijo akiingia garini wakati wa kuanza kurekodi kipindi cha daladala ambapo safari hii kipo mkoani Tanga. Daladala hurusha na ITV kila siku kuanzia saa kumi na mbili na nusu mpaka saa moja.
Eldad Mark Film Director aliyevaa fulana ya rangi ya kijani akiwa na Deogratius Sizya Camera man wa kipindi cha Daladala pamoja na afisa wa elimu za sekondari wilaya ya Mkinga Bwana Kombo wakijiandaa na mahojiano.
Bibi Kiroboto ambaye pia ni mtangazaji wa kipindi cha daladala akiwa na dereva wa daladala bwana Emanuel Zing. Aliyesimama ni mfanyakazi wa kiwanda cha Tanga Fresh Bi Winfrida Magawa aliyesimama.
Eldad Mark Film Director wa kipindi cha daladala akiwa na Daniel Kijo wakiwa Tanga
aomba mwandishi arekebishe,kwa sasa kipindi husika kipo ITV na sio TBC.
ReplyDeleteHata mimi nikuwa najua kipo TBC1 na sio ITV.Naomba utupe malezo zaidi zaidi kama ni ITV au TBC1
ReplyDeleteInaelekewa wote wageni au labda mpo nje ya nchi- kipindi kwa sasa kipo ITV na hurushwa kila siku kuanzia saa kumi na mbili na nusu hadi saa moja. Mwandishi alikuwa sahihi. Muwe mnatazama TV wadau. Kipindi kiko ITV kwa sasa
ReplyDeleteDuh picha namba moja kwenye daladala imeandikwa kipindi ITV KILA SIKU SAA 12:30 MPAKA SAA 1:00 kama hamfatilii muwe hata mnatazama picha kwa makini na sio kutoa comment bila ya uhakika. TBC kilishatoka
ReplyDeleteWe mchangiaji namba moja hiyo TBC imeandikwa wapi..? huoni au
ReplyDelete