Marehemu Winfred Mtenge Obed

Familia ya marehemu Winfred Mtenge Obed ya Dar-es-Salaam leo tarehe 18-07-2011 inakumbuka kifo cha baba yao mpendwa.

Daima unakumbukwa na mkeo Mary Mtenge Obed,watoto wako Awinga Obed na August Obed,wajukuu wako Bill August,Brian August,na Ashley Awinga,pamoja na ndugu,marafiki na majirani zako wote.

Raha ya Milele umpe eebwana na mwanga wa milele 
umwangazie apumzike kwa Amani-Amen.
Neno kutoka YOHANA6-38-40.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...