MAREHEMU SOPHIA MATHEW MCHALUMBI |
Familia ya Janeth Mchalumbi wa Ipuli Tabora,leo tarehe 19.07.2011 inakumbuka mwaka mmoja wa kifo cha mtoto wao mpendwa SOPHIA MATHEW MCHALUMBI.
Unakumbukwa daima kwa upendo,heshima na upole wako.
Vilevile unakumbukwa na mama yako mzazi Janet Mchalumbi,mtoto wako Dismas, dada yako Mariam, Kaka yako Geofrey, Wadogo zako Kafuku,Christopher,Rhoda,Familia ya mchalumbi na Masanja,Ndugu,Marafiki, majirani na Wafanyakazi wenzako wote.
Sisi tulikupenda, lakini MUNGU amekupenda zaidi.
Sisi sote ni waja wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea, InshAllah.
ReplyDelete