Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA,Mama Salma Kikwete (kulia) akibadilishana mawazo na Seneta Jackie Winters kutoka Marekani (kushoto) alipomtembelea ofisini kwake jijini Dae re Salaam leo.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA,Mama Salma Kikwete (kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Seneta Jackie Winters.
Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete (mwenye miwani) pamoja na Seneta Jackie Winters (kulia kwa Mama Salma) kutoka Marekani wakiwa na wanafunzi kutoka Chuo kikuu cha Western Oregon pamoja na walimu wao wakati walipomtembelea Mwenyekiti huyo ofisini kwake jijini Dar es Salam leo. wanafunzi hao wanane watatembelea Mkoani Arusha katika baadhi ya vijiji vya Masai ambapo watashiriki kazi za kujitolea za shughuli za kijamii. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO.
Mhhh mbona naona kama vile picha ya kwanza kabisa kuna disconnect kati ya muongeaji na msikilizaji??? Au mimi sikusoma picha vizuri nini??
ReplyDeleteState senator na sio fed senator
ReplyDelete