Mchezaji wa Klabu ya Madrid ya Kinondoni,Fred Jacob akijiandaa kupiga mpira ikiwa ni hatua ya robo fainali ya mashindano ya Safari Lager Pool mkoa wa kimichezo wa Kinondoni jijini Dar.
Mchezaji wa Klabu ya Meeda,Karim Abdul ambaye katika mchezo huu aliweza kumtoa mpinzani wake Fred Jacob na kufanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali.mashindano haya yanaendelea kufanyika kwenye Bar ya Meeda iliopo Sinza jijini Dar.
Mchezaji wa Klabu ya Mkwajuni,Ayoub Daniel akifanya vitu vyake katika mchezo wa hatua ya robo fainali ya Mashindano ya Safari Lager Pool mkoa wa kimichezo wa Kinondoni,jijini Dar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...