Askari wa kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Morogoro, wakimhoji dereva wa gari aliyekutwa ameegesha sehemu ya waendao kwa miguu pembezoni mwa Stendi ya Daladala kama walivyokutwa mpiga picha wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 18, 2011

    Michuzi hilo la system hilo ndio maana kapaki hovyo.... kama mtakumbuka namba za magari alizotajaga Mwakyembe hizo ni moja wapo....

    Mtunga sheria ndio mvunja sheria Tz tambarare....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...