Timu ya soka ya Kanda ya Kati wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kucheza na kanda ya ziwa magharibi na kuifunga kwa magoli 6 kwa bila
 Timu ya Soka ya Kanda ya Ziwa Magharibi ambayo ilichapwa mabao 6-0 na kanda ya kati ya kuanza kwa mchezo baina ya timu hizo mbili.
 Mgeni rasmi akisalimiana na wachezaji wa timu ya mpira wa miguu kanda ya ziwa magharibi kabla ya kuanza kwa mchezo baina ya timu hiyo na kanda ya kati
 Mratibu wa Taifa wa Mashindano ya Umitashumta bwana Lawrence Madege akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hatua mbalimbali zilizofikiwa katika michuano hiyo inayoendelea katika viwanja vya Shirika la Elimu Kibaha, Mkoani pwani.
Baadhi ya washindi wa mbio ndefu za mita 1500 wakipata picha ya pamoja na mgeni rasmi. Picha na mdau Mathew S. Kwembe wa Ofisi ya Waziri Mkuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...