Rais Jakaya Kikwete akipokewa na mamia ya wananchi wa Mwandiga mkoani Kigoma waliofurika jana katika sherehe za ufunguzi wa barabara yao ya Kilomita 60 
 Rais Kikwete akizindua rasmi barabara ya Mwandiga-Manyovu yenye urefu wa km 60 iliyoko mkoani Kigoma 
 Rais Kikwete akikata utepe na kufungua pazia kuashiria ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwandiga-Manyovu yenye urefu wa km 60 iliyoko mkoani Kigoma. Picha na  John Lukuwi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 05, 2011

    Ankal hapo waliposimama ndio lami yenyewe? Tupe hata picha basi jinsi inavyoonekana kama walivyofanya Wachina walipozindua ile ya kwao ya kukatiza baharini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...