![]() |
Mdau akicheki vazi lake kwenye Derby Carnival wikiendi ilopita |
SALAM
Msanii Mkali wa muziki wa Rap kutoka Urban Pulse alifunga mji wake wa kuzaliwa Derby alipofanya show la nguvu na kukaribishwa kwa shauku kubwa. Hii ilitokea
Ndani Derby Carnival wikiend iliyopita. Maelfu ya wageni na wakazi wa Derby walifurahishwa sana na perfomance ya Mish na Producer wake Junior special SALIM na kuombwa tena warudi stegini tena ili waendelee kukamua zaidi.
Derby Carnival ilianzishwa tokea mwaka 1975 chini ya West Indian Community Association (DWICA) ambayo imekuwa ikileta utamu kutoka visiwa vya
Caribbean ndani ya Mji Wa Derby kwa kusherekea mila na desturi zao zilizoambatana na miziki ya Reggae, soca, Steelpan pamoja na mavazi ya kuvutia wakati wakizunguka mji mzima wa Derby.
Carnival hii hufanyika mara moja kila mwaka kwa siku mbili Jumamosi na Jumapili.
Fire Brigade Mixtape CD ya Mish inapatikana katika download hapo chini
Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE Kwa mapicha kibao BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...