Wabunge wa  CCM wa mkoa wa Mbeya na kwengineko wakimuongoza Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauyem kuingia uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya kwenye mkutano mkubwa wa hadhara leo mchana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. ..ina maana Mh.SUGU anatisha kiasi hicho mpaka wapeleke ujumbe mzito hivyo kuweka mambo sawia??

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 17, 2011

    kwani huyu nape si aliteuliwa kuwa mkuu wa wilaya? sasa huo ukuu wa wilaya anafanya saangapi? maana kila kukicha ni mtalii wa ndani ya nchi anazurura tu huku na kule. kama yupo bize na utalii awaachie wengine kile kiti cha ukuu wa wilaya.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 17, 2011

    Je wamepata kibali cha polisi kufanya mkutano wa hadhara?
    Mbona vyama vingine vikiomba kibali hawapati kwa urahisi wanaambiwa wanatishia usalama wa raia!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 18, 2011

    Tangu lini sisiemu wakatumia uwanja huu kwa mikutano? Kwa nini walitumia uwanja wa Ruanda Nzovwe ilhali wao wanao uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine ambao wanawabania Chadema kuutumia? Nilidhani wangentumia uwanja wao, na sio huo wa serikali (uwanja wa shule ya msingi Ruanda Nzovwe)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...