Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Issa Machibya, ( kushoto ) akimkabidhi Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Kisaki Stesheni , Kata ya Kisaki, Wilaya ya Morogoro,Sultan Diwinge , mfuko wa kilo mbili ya mbegu bora ya ufuta aina ya lindi 2 kati ya mifuko 200 ya mbegu hiyo itakayogawiwa bure kwa wakulima wa Kata ya Kisaki , Wilaya ya Morogoro kwa ajili ya msimu ujao wa Kilimo.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Issa Machibya, akiwaonesha wakulima wa Kata ya Kisaki, Wilaya ya Morogoro , mbegu ya kisasa ya ufuta aina ya lindi 2 inayotakiwa kumiwa kwenye kilimo cha zao hilo msimu ujao, hivyo ametoa kilo 200 na kuwagawia bure wakulima wa Vijiji vinne vya Kata hiyo.Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii,Morogoro.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...