Misa ya kumwombea Marehehemu Danny Mwakiteleko ilifanyika katika Kanisa la KKKT Usharika wa Ndala. Na baade maziko kufanyika katika makaburi ya Masebe 1 kijijini Ndala, Kata ya Kandete, Tarafa ya Busokelo Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya. Danny alifariki Julai 23 kwa ajali ya gari na kuzikwa leo Julai 26, 2011.Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema peponi-Amen.
Aliyekuwa rafiki mpendwa wa Marehemu,Mpoki Bukuku akiweka shada la maua.





Muwakilishi wa Jeshi (JWTZ) kutoka Lugalo akiweka shada la maua.





Mhariri mtendaji wa Tanzania Daima na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri ambaye pia alikuwa rafiki wa karibu wa marehemu Danny,Absalom Kibanda akiweka shada la maua.Picha Zote na Michuzi Jr  


kwa picha zaidi 
BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...