MKUU WA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA, MHANDISI DKT. RICHARD MASIKA AKIWAHUTUBIA BAADHI YA WANAFUNZI WALIOHITIMU KOZI YA (PRE-ENTRY COURSE) KWA AJILI YA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA STASHAHADA YA UHANDISI KWA MWAKA WA MASOMO 2011/12, CHUO CHAWALI.
BAADHI YA WANAFUNZI WAKIKE WALIOHITIMU KOZI YA AWALI (PRE-ENTRY COURSE) WALIKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MKUU WA WILAYA YA ARUMERU MH. MECY SILA (KATIKATI).
BAADHI YA WAHITIMU WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA MGENI RASMI, MKUU WA WILAYA YA ARUMERU , MHESHIMIWA BIBI MECY SILA PAMOJA NA MKUU WA CHUO DKT. RICHARD MASIKA.
Well done Dr. Richard Masika! Your presence at Arusha Technical College has improved the College tremendously. I am aware that the College is now offering a degree programme in Civil and Irrigation Engineering. Keep it up!
ReplyDeletemafunzo ya aina hii yaliniwezesha kutoka katika kuwa mama wa nyumbani baada ya kufeli form iv sasa nasoma shahada ya kwanza ya engineering udsm.
ReplyDeletehongera sana ATC wakomboeni na wengine
Its high time to invest more on this kind of training as they give more opportunities to women to become engineers
ReplyDeletehongera atc for giving our girls this golden opportunity!
ReplyDeletegood work
ReplyDeletePONGEZI KWENU ATC KWA HATUA MLIZOPIGA ZA MAENDELEO KWA MUDA MFUPI SANA
ReplyDelete