Hi Ankal
Would you please do me a favor
I am  a tanzanian young man who lives and works in The United States,I would like to have a future wife from Tanzania,The ideal wife should be young,energetic and good looking,She must also have some knowledge of English, be ready to relocate and above all she must be a Muslim who practice Islam and always wear Hijjab.Interested should mail me at (abdulkarimyusuph@yahoo.com )

Thank you in advance

AbdulKarim

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. kazi kweli kweli. aina mbalimbali za postings. kutafuta kiwanja, wafanyakazi na pia kuuza vitu mbalimbali. hii ndoa ya intreneti, sijui. ila hata wakijitokeza, itakuwa muafaka kweli? mie ningependa mdau alieleta hili tangazo atupe mrejesho wa maendeleo, no need to disclose names

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 05, 2011

    haya chacha!!!!! si uingie hata facebook jamani. lol. na wasiovaa hijab watavaa this time. just for u.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 05, 2011

    Asalaam aleiykum,
    Umri haumati? Maana sijaona suala la mume au utafuata sunna ya Mtume Mohammed (S.A.W.) ya kuoa mke alokuzidi umri.
    Mie ni mjane wa miaka 37 na nina watoto wawili. Nina sali sala 5 na kustiri maungo yangu ila sivai ninja.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 05, 2011

    tuombe mungu mail hii iwe ya kheri, it smells rat

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 05, 2011

    Nyie mnaotaka wachumba, wake kutoka home muwe wawazi, mseme ukweli kuwa huko maisha ni magumu ni kuchakarika kwa kwenda mbele hakuna cha housegirl wala nini ni kazi kwa kwenda mbele. Mseme wazi kuwa kila kitu kinakwenda kwa plans hakuna kuwaste time kukaa kitako kutwa mtu anaangalia TV maana kama TV program huko ni za kumwaga. Na wasifikiri kuwa huko waendako ni peponi maana kuna wenzio walibeba wake kutoka home wanalia sasa hivi maana wake zao wameshindwa kuadapt maisha ya huko.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 05, 2011

    you cannot even express yourself in English. sema unatafuta mwanamke tu, hayo mengine utamfunza kama elimu ama dini

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 05, 2011

    YOU WANT A GOOD LOOKING WIFE, ARE YOU A GOOD LOOKING MAN??? MAMBO YA IJABU UTAWEKWA KWENYE MOST TOP TEN WANTED WEWE, DINI NI MOYO WAKO NA SIYO VAZI BABA.

    ReplyDelete
  8. acha kuota bro! mke hatafutwi ktk net, njoo milembe ujaziwe filter za kibongo ktk ubongo wacha kuiga akili za kizungu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...