Msafanyabiashara ya usafiri mjini Songea mkoani Ruvuma ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja akisafirisha abiria wake katika eneo la Lizabon mjini Songea jana kama alivyokutwa na mpigapicha wetu ,usafiri huo wa piki piki (Boda boda) umeteka soko la usafiri wa daladala na Taxi katika mji wa Songea
Kituo kikuu cha Bodaboda Songea
Mmiliki wa blogu ya Francis Godwin akiwa amepanda boda boda mjini Songea mkoani Ruvuma jana baada ya kufanyamahojiano na mwanzilishi wa usafiri wa Boda boda mkoa wa Ruvuma Bw.Abubakari Mohamed (anayeendesha) picha namba 8 ni mahojiano maalum na blogu ya Francis Godwin
Francis Godwin akiwa katika mahojiano na mwanzilishi wa usafiri wa Boda boda mkoa wa Ruvuma Bw.Abubakari Mohamed
Naona jamaa kapiga fulana ya Cleveland Browns!
ReplyDeleteInabidi niwatumie jamaa wa Browns waone jinsi walivyo na washabiki:
http://www.clevelandbrowns.com/
Go Browns!