Kikosi Cha Yanga.
Kikosi Cha Simba.

Leo ndio leo pale uwanja wa Taifa wa jijini Dar ambapo miamba wawili wenye uhasimu mkubwa sana katika soka la nchini (Yanga na Simba) watakutana katika mchezo wa fainali ya Kagame-Castle cup 2011.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 10, 2011

    SIMBA 2 NA YANGA 0 NA KOMBE KUELEKEA MSIMBAZI.
    HABARI NDIO HIYO!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2011

    Simba iko juu sana. Siasa za bongo na majungu tu inaiharibia

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 10, 2011

    SIMBA WATACHUKUA KOMBE, MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI SIMBA.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 10, 2011

    anko tumeshtuka wewe ni simba, ngoma imeisha kitambo na yanga kashatangazwa bingwa ila huturushi niaje bana wewe acha hizo bana...kwa roho safi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...