Miss Excellency 2011/12 Neema Butiku akivishwa taji lake baada ya kuamka kidedea usiku wa kuamkia leo kwenye viwanja vya Open University Kinondoni Biafra jijini Dar. Mshindi wa pili alikuwa Werugu David, wa tatu alikuwa Nemesia Simon, aliyefuatiwa na Sophia Chacha na Hadija Madebe

Mkuu wa majji akitaja washindi
Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh Bernard Membe, akitoa hati ya utambuzi kwa mmoja wa wafadhili wa shoo hii iliyofana sana
Tano bora wakianza ngwe ya maswali
MC Ephraim Kibonde akitoa kadi za namba za maswali
Warembo wote 10 walioshiriki
Shoo ya Mapacha watatu
Mchekeshaji Babu Ayubu akipata chungu, badala ya kikombe, baada ya kutumbuiza kadamnasi. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...