Seneta Jackie Winters wa jimbo la Oregon la Marekani akicheza ngoma alipotembelea katika kituo cha kulelea watoto yatima wakati alipokuwa na ziara ya kutembelea baadhi ya vituo ambavyo vinasimamiwa na shirika la Ophans Foundation la mkoani Arusha
mwenyekiti wa Ophans Foundation naye anajiunga kucheza na seneta huyo
seneta Jackie  Winters akitoa hela mara baada ya kununua  mavazi na mapmbo ya Kimasai
wageni wanaoongozana na seneta Jackie Winters wakiwa wanachagua vitu vya asili vilivyokuwa vikiuzwa na wakinamama wajane wanaosimamiwa na shirika ilo la Orphans Foundation. Picha zote na Woinde Shizza wa Globu ya Jamii, Arusha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...