Familia ya Mgori & Dachi tunatoa shukrani zetu za dhati kwenu kwa upendo wenu mliouonyesha kwetu wakati wote wa msiba wa Mama yetu Kipenzi, Kahenga Mzee (pichani) aliyefariki tarehe 21/6/2011 Hapa Dar es Salaam na kuzikwa tarehe 22/6/2011 kwenye makaburi ya Kisutu DSM.

Tunawashukuru kwa jinsi mlivyokuwa karibu nasi kwa dua na maombi wakati wote hadi tulipompumzisha mama yetu Kipenzi.

 Vilevile tunapenda kuwakaribisha katika dua itakayo itakayo fanyika siku ya Tarehe 23/July/2011 mbezi juu kuanzia saa Tano asubuhi wote mnakaribishwa.
 Kwa maelekezo zaidi piga 
0787523152 au 0754391638

Asanteni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2011

    Mmungu amhufirie madhambi yake na amuwekekaribu nane katika pepo yake nasi Mmungu atupe hatma njema twendako
    Amin

    Makame haji sued

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...