Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akizungumza jambo na Ujumbe wa Wabunge wa kambi ya upinzani waliofika Bungeni kujifunza namna Bunge letu linavyo fanya kazi hasa kwa kushirikisha kambi ya Upinzani.Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akimkabidhi zawadi ya Mvinyo unaotengenezwa Dodoma na na ambao ni maarufu sana Duniani ( Presidential Wine - Reserve) kiongozi wa Ujumbe wa Wabunge wa kambi ya upinzani toka Bunge la Uganda Mhe. Atim Cecilia Ogwal mara baada ya kuonanan nao Ofisini kwake Dodoma. Wabunge hao wapo Bungeni kujifunza namna Bunge letu linavyo fanya kazi hasa kwa kushirikisha kambi ya Upinzani. Picha zote na mdau Owen Mwandumbya wa Bunge
Home
Unlabelled
Spika Anne Makinda akutana na ujumbewa wa Kambi ya Upinzani bunge la Uganda dodoma leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...