Professor Cuthbert Zebadiah Kimambo wa Chuo Kikuu cha dar es salaam anasikitika kutangaza kifo cha mama yake mzazi bibi martha kimambo kilichotokea siku ya tarehe 3 Julai 2011 huko Arusha.
Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwa mtoto wa marehemu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Mazishi yatafanyika siku ya Alhamisi tarehe 7 Julai 2011 huko Mbokomu, Moshi. Habari ziwafikie ukoo wote wa Kimambo, ukoo wa Macha ndugu jamaa na marafiki popote pale walipo.
Mungu aiweke Pema Roho ya Marehemu
- Amein.
Mungu aiweke pema peponi roho ya mama yetu na poleni sana wafiwa
ReplyDeletewote na Mungu awape faraja.
MLAY kutoka Mbokomu.
WANAFAMILIA WOTE AKINA KIMAMBO POLENI SANA KWA MSIBA,BWANA CATHBERT KIMAMBO NA BI LILIAN KIMAMBO POLENI SANA KWA KIPINDI HIKI KIGUMU.MWENYEZI MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEM MAMA YENU MPENDWA PEMA PEPONI AMENI.SIA MACKYAO NA EMELIA MACKYAO, LONDON.
ReplyDelete