Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe (pili kulia) akiwa na Meneja Mauzo wa Kampini ya Bia Tanzania (TBL),Flavian Ngole (tatu kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya InterGrated,Fred Nthiga wakati wakijiandaa kwa maandamano ya Tamasha la Kilimanjaro Jivunie Utanzania yaliyoanzia kwenye Kijiji cha Makumbusho na kumalizikia kwenye viwanja vya Posta,Kijitonyama jijini Dar es Salaam leo.
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro,George Kavishe (kulia) akiwa na Meneja Mauzo wa TBL,Flavian Ngole wakiongoza maandamano ya Tamasha la Kilimanjaro Jivunie Utanzania yaliyoanzia kwenye Kijiji cha Makumbusho na kumalizikia kwenye viwanja vya Posta,Kijitonyama jijini Dar es Salaam leo.
kwa picha zaidi.
BOFYA HAPA
kwa picha zaidi.
BOFYA HAPA
well done kampuni ya bia inasikitisha nchi yetu hata viongozi wa sasa wanaonekana hakuna hata mmoja anayeweza kupromote utanzania wala umoja nadhani.Hivi inakuwaje nchi imefikia hata hakuna msemaji mkemeaji na muunganisha watu.Msifikiri tumefika hapa tulipo kimchezo.kumbukeni enzi za nyerere kila wiki lazima alikuwa akiunguruma kuwakumbusha watanzania nini kinatakiwa na kwa wakati kani lakini leo ka hakuna hata msemaji viongozi wanaenda kuchoto kwenye kisima tu.Hola kampuni ya bia
ReplyDelete