Marehemu Abel Lusawa 

Kampuni ya ComputerConsult Ltd. inasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzetu Abel Lusawa kilichotokea usiku wa kuamkia  leo katika hospitali ya Muhimbili.


Kwa watu wa ICT (Computers) hapa Tanzania watamjua Abel tokea  takribani miaka  10 iliyopita ambapo amekuwa akishiriki  katika kutengeneza Network Structured Cabling ya majengo mbalimbali ya ofisi za serikali na binafsi hapa nchini. 
Msiba upo Kijitonyama kwa Ali Maua jijini Dar es salaam, Opposite na Kituo Kidogo cha polisi cha  Ali Maua, Kijitonyama.
Mazishi yatafanyika Saa 8 mchana Jumatatu 18th July 2011 katika makaburi ya Kinondoni.

Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahali pema peponi
Amen.
Rodrick Mwambene
ComputerConsult Ltd.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Miss TurukaJuly 16, 2011

    Mungu amlaze mahala pema peponi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...