Marehemu Abel Lusawa |
Kampuni ya ComputerConsult Ltd. inasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzetu Abel Lusawa kilichotokea usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Muhimbili.
Kwa watu wa ICT (Computers) hapa Tanzania watamjua Abel tokea takribani miaka 10 iliyopita ambapo amekuwa akishiriki katika kutengeneza Network Structured Cabling ya majengo mbalimbali ya ofisi za serikali na binafsi hapa nchini.
Msiba upo Kijitonyama kwa Ali Maua jijini Dar es salaam, Opposite na Kituo Kidogo cha polisi cha Ali Maua, Kijitonyama.

Mazishi yatafanyika Saa 8 mchana Jumatatu 18th July 2011 katika makaburi ya Kinondoni.
Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahali pema peponi
Amen.
Rodrick Mwambene
ComputerConsult Ltd.
Mungu amlaze mahala pema peponi.
ReplyDelete