Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania,Robin Goetzche aikizungumza leo katika uzinduzi wa Kampeni ya Jivunie Utanzania inayoendeshwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia kinywaji chake cha Kilimanjaro Lager ikiwa ni harakati ya kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania.Kampeni hii imezinduliwa leo hii katika viwanja vya Makumbusho ya Taifa,katikati ya Jiji la Dar na kuhudhuriwa na wageni mbali mbali.
 Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),David Minja akifafanua jambo juu ya Kampeni hiyo iliyozinduliwa rasmi leo katika viwanja vya Makumbusho ya Taifa,jijini Dar es Salaam.
Kutoka kushoto ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe, Mjumbe wa Bodi ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Ali Mwaimu, Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Robin Goetzsche, Mkuregenzi wa Bodi ya TBL, Arnold Kileo, Mjumbe wa Bodi Geoggrey Msella, Mkurugenzi Masoko TBL, David Minja na Maneja Miradi Maalumu wa TBL, Emma Orio wakiwa wameshika bia za Kilimanjaro Premium Lager kuashiria uzinduzi wa Kampeni ya ‘Kili Jivunie uTanzania uliyofanyika katika Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam leo.


kwa picha zaidi BOFYA HAPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...