Waziri wa Fedha,Mh. Mustafa Mkulo akipata maelezo kutoka kwa afisa wa Kampuni ya uchapishaji wa magazeti ya Daily News , Sunday News na Habarileo wakati alipotembelea banda hilo ndani ya viwanja vya maonyesho ya 35 ya biashara ya kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya sabasaba jijini Dar es salaam.Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO- Dar
Home
Unlabelled
Waziri wa Fedha atembelea banda la Daily & Sunday News na Habari leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...