Home
Unlabelled
UMEME ULIPOKATIKA UWANJA WA TAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hebu Mhe. JK fanya kitu kwenye hii sector ya Nishati. Tunaumia sisi wananchi...hizi ni kero kubwa sana. Hii sector inabidi iundwe upya, ikiwezekana Mhe. Waziri mwenye jukumu ajiudhuru tu tujue moja. Mbona Lowassa aliachia ngazi wajameni? JK tunakutazama wewe sisi wanao tunalia, baba wa Taifa hayupo, hatuna baba mwingine isipokuwa wewe tu!
ReplyDeleteTizama wa Tanzania tulivyowashamba sasa wanaanza lawama kwa WACHINA tufanyiwe mangapi? na hao wa CHINA uwanja ukiharibika kukarabati pia msubiri WA CHINA? SAWA NA VIJIWENI WATU KULALAMIKA DOWANS UKIWAULIZA HAWAJUI NDIO NINI LEO WAMAREKANI ULE MTAMBO WAMEBEBA WAO SIJASIKIA KELELE TENAB UNGENI HATA ZA WAPINZANI. KWA WALE WATAOSEMA TANESCO ASILAUMIWE LAZIMA ALAUMIWE SABABU HAKUJATOKEA SHOTI YA UMEME UWANJA WA TAIFA, UMEME ULIKATWA KWAHIYO TANESCO LAWAMAM UHIMU NA TFF WALAUMIWE USALAMA WA WANANCHI KUFIKIRIA JE MOTO UNGETOKEAI NGEKUWAJE?
ReplyDeleteAudhubilah
ReplyDeleteHao viongozi wa uwanja huo hawana hata emergency generator Ingetokea stampede hapo watu wangekufa kama nzi
How did they get a safety certificate if they have no plans for such emergencies
TANESCO Ovyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo...!
ReplyDeleteMungu amewapa jua kali linachoma kama pasi, sasa litumieni kwanini hamkucheza mchana, sasa hapo usalama uko wapi vurugu zingetokea ni wangapi wangedhurika, acheni kuiga mambo ya kwenye TV mnaona wakina Messi wanacheza usiku na nyie mnaiga tu vitu msivyo na uwezo navyo, CHEZENI MCHANA ACHENI UJUHA !!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteMi nashauri JK amteue Mkapa kusimamia umeme, suluhisho ndio hilo tu.
ReplyDeleteMbunifu majengo hakuzingatia kuweka genereta la akiba, mmiliki wa uwanja nae pia. Hiyo inaonyesha wazi kuwa uwanja haukupangwa kuendeshwa wakati wa usiku. Hapo genereta la kv250 lingetosha na bei yake bila ufisadi ni Tsh25,000,000/=.
ReplyDeleteHii ni hatari kwa usalama wa raia, kuna ushenzi unaendelea hapo, sidhani kama wakichunguza kuna sababu za msingi za kukata umeme kwenye mkusanyiko mkubwa wa raia. Inaonekana kuna watu wasiojali kabisa na hawaelewi dhamani ya raia. Hii ni aibu kwa taifa na serikali yake! LOL tanzania uhuru miaka 50!!
ReplyDeleteWe need revolution for real!
God bless Tanzania.
aibu tupu hakuna hata moja tunaloweza kujiongoza.uwanja tujengewe hata generator tununuliwe?.kila siku inaundwa kamati baada ya majanga hiyo kamati italipwa nini?wanzidi kula hela za wananchi maskini wa kitanzania.walivyoaanda haya mashindano walijua kuna mgao wa umeme ilitakiwa wawe tayari kwa lolote.serikali gani hiii kila kitu zima moto.nyimbo za taifa zishagoma kuimba.umeme mara ya pili hii.watajifunza lini hawa watu? lawama hii ni kwa wizara husika TFF ni wahusika wa pili baaada ya wizara kuubeba huu mzigo.
ReplyDeleteyaani inahuzunisha mno tanzania viongozi wanakuwa ni wapumbafuuu kiasi gani jamani??hivi hawana hata mioyo ya huruma kwa wanainchi wao kweli??that's stupidity hivi kama lingerushwa bomu lingeua wananchi wangapi?hatari hatari sana sana na ni uuaji kweli viongozi wa nchi na wanaohusika na mambo ya nishati hawawezi kutumia akili zao za kuzaliwa ya kujua hili ni jambo la utu na hili ni unyama kwa binadamu wenzao?kweli na walaanike mno!mno!
ReplyDeleteMdau wa juu uliosema kuwa wa kulaumiwa ni viongozi wa uwanja,nakubaliana nawe.
ReplyDeleteHata iweje lazima kwenye uwanja kuwepo na generator,wao wanajua kula pesa tu lakini kutunza hadhi ya uwanja hakuna.
Hata tukibebwa vipi tutatafuta njia ya kujidondosha,hakuna hata kiongozi anayefikiria safety ya raia, wao wanafikiria matumbo yao tu.
Jamani sisi watanzania aibu tupu, kabla ya hili kulikuwa na tukio la wimbo wa taifa kushindwa kupigwa, sasa umeme kukatika ghafla. Je kungetokea vurugu basi tungekua tunaongelea mambo mengine tena! Nyepesi nyepesi ni kwamba wajanja wilikula hela za mafuta ya genereta! Bongo jamani lini tutakua na machungu na maendeleo ya nchi yetu?
ReplyDeleteMdau, Geneva