Mmoja wa warembo wanaoshiriki shindano la Vodacom Miss kanda ya mashariki akipita na vazi la ubunifu katika siku ya kumtafuta Balozi wa Usambara Hotel Lodge mjini Morogoro usiku wa kuamkia leo.

 .Mkuu wa Wilaya ya Morogoro mjini na vijijini Said Mwambungu kulia aliekuwa mgeni rasmi wakati wa kumtafuta Balozi wa Usambara Hotel Lodge akimsikiliza Mkurugenzi wa kamati ya Vodacom Miss Tanzania Hashimu Lundenga,Onyesho hilo lilidhaminiwa na Vodacom Tanzania usiku wa kuamkia leo

 Warembo tano bora wa Vodacom Miss kanda ya Mashariki walioingia katika kinyanganyiro  cha onyesho la kusaka vipaji na Balozi wa Usambara Hotel Lodge,Onyesho hilo lilidhaminiwa na Vodacom Tanzania.

 Ofisa udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude akiwapa mkono wa pongezi warembo tano bora wa Vodacom miss kanda ya Mashariki walioingia katika kinyanganyiro cha onyesho la kusaka vipaji na Balozi wa Usambara Hotel Lodge
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro mjini na vijijini Said Mwambungu wapili toka kushoto, Mkurugenzi wa kamati ya Vodacom Miss Tanzania Hashimu Lundenga kushoto,Mama  Makamba wa tatu toka kushoto na Vodacom Miss Tanzania Genevieve Mpangala wakifatilia onyesho la kusaka vipaji na Balozi wa Usambara Hotel Lodge lililowshariki na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...