Kutoka kushoto ni Martin Kitundu, Joseph Uiso, andrew Msina, Germana Ibreck, John Busungu, Peter Joseph, Albert Mkenda na Eleanora Maruma. Hawa wadau woote ni kutoka Tanzania wakiwa pamoja baada ya kula Nondoz zao za Masters Of Science in Finannce (MSC. Finance) katika Chuo Kikuu cha University of Strathclyde,Glasgow, UK.
Wahitimu wakifurahi pamoja na familia zao kutoka Tanzania.
Wakiwa katika picha ya pamoja hawa ni wahitimu wa 9th Intake wakiwa ni wenye furaha. Hii ilikuwa baada ya kukabidhiwa nondozz na kutunukiwa rasmi degree yao ya uzamili (MSc. Finance)
Wadau Andrew Msina na Eleanora Maruma wakiwa katika idara ya biashara (Business School).
Scolastica, Mafumba na Nyamizi Kazungu wakiwa na nyuso za furaha baada ya kulamba nondozz zao za MSc. Finance.
Hongereni sana wa-TZ. Sasa mrudi mkalijenge Taifa.
ReplyDeleteHao wote walikuwa tanzania, warudu vipi. masters inatolewa kwa ushirikiano na IFM. wanasomea TZ. HONGERENI SANA SHAHADA HIZO ZA UZAMILI ZIFANYE MABADILIKO CHANYA NA SI UWIZI WA HELA..
ReplyDeleteHONGERENI TENA
hapa sio peramiho au pugu uk bwana infrastucture tofauti na jina
ReplyDeleteHongereni sana sana. Hawa wote walikuwa wanasoma hiyo degree ya MSc Finance hapa IFM Dar es Salaam, na sio huko Scotland, Ila degree hiyo inatolewa na hiyo University. Wanafunzi waliofaulu na wenye uwezo kipesa wanaruhusiwa kuchagua kuhudhuria graduation huko Scotland. Wasio na uwezo wanaudhuria graduation pale IFM.
ReplyDeletealex bura, dar
Hongera sana John Busungu. Najua unapenda kazi yako, endelea kulijenga taifa letu changa la Tanzania. Na Mungu atakuzidishia na kukubariki mpaka kizazi cha nne. Amen
ReplyDelete