Kamanda wa jeshi la polisi mkoaji Kagera afande Henry Salewi akiongea na waendesha pikipiki kuwataka watawanyike na wasijichulie sheria mkononi kwa kutaka wapewe mtuhumiwa wao wamshughulikie wenyewe. Waendesha pikipiki hao walichoma nyumba ya mtuhumiwa wa wizi wa pikipiki iliyoko eneo la Kibeta katika manispaa ya Bukob
Waendesha pikipiki zinazofanya kazi ya kubeba abiria wakiwa wamefunga barabara karibu na jengo la mahakama kuu kanda ya Bukoba wakishinikiza kumuoana mkuu wa mkoa wa kagera Mohamed Babu ili aliamuru jeshi la polisi mkoani Kagera liwakabidhi mtuhumiwa wa wizi wa pikipiki wamshughulikie wenyewe, takwa ambalo halikuwezekana kwani ni kinyume cha sheria.
Picha na Audax Mutiganzi wa Globu ya Jamii, Bukoba
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...