JK akifurahi na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Mh. Zitto Kabwe akiwa katika vazi la asili ya kabila la Waha wakati wa sherehe za uzinduzi wa barabara Mwandiga-Manyovu yenye urefu wa km 60. Picha na John Lukuwi
------------------------
'Msikubali atakayenirithi awe wa rika langu. Kizazi chenu sasa kijiandae'-JK
to David Kafulila and I (Zitto Kabwe) when launching the construction of Malagarasi Bridge
Huyu mheshimiwa Zitto Kabwe amesahau vazi la asili la kiume la Waha? Sio mlumba kama kwenye picha bali ni MPUZU na pia angempa raisi mrehe na rungu.
ReplyDeleteI grew up in Kasulu enzi za ukoloni
Wakatabahu
tunashukuru kwa kupata serikali sikivu
ReplyDeleteHii kauli ya "Msikubali atakayenirithi awe wa rika langu, kizazi chenu sasa kijiandae-JK" Nimeipenda sana na ni ya msingi kufanyiwa kazi. Pia ushirikiano wa kuleta maendeleo ya nchi bila kuangalia tofauti ya kisiasa(Vyama) ni nzuri sana. Napupongeza kwa hilo JK
ReplyDeleteWatanzania wote tumchague ! KIKWETE
ReplyDeleteJamaa !eh! KIkwete !
Akina mama wote tumchague ! KIKWETE
Akina baba wote tumchague !KIKWETE
Tanzania! Kikwete
Nakumbuka baadhi ya mistari ya lile sebene lake
kutoka kwao vichaa ffu wa ughaibuni
Kusema hivyo anaogopa umri wa Dr Slaa maana anajua marafiki zake wote waliofisadi nchi watakuwa hatarini.
ReplyDeleteMimi bado sijaridhika kama balabala ya kigoma kwenda Mwanza bado ni tope!!Ila ni nafuu kwasababu hili ni lakutuunganisha na wenzetu warundi.
ReplyDeleteLakini mheshimiwa Zitto au kafulila piganeni chini juu na hilo lakutoka Kigoma kupita kasulu,makele,kibondo....mpaka Mwanza liwe la lami.
Mdau wa The Hague.
Wenye umri wako waachwe unamaanisha URAIS UNAMWACHIA MAKAMBA? Maana kuna kila dalili za kumwandaa. Usimzuge Zitto.
ReplyDelete