NI FURAHA HAIJAWI KUTOKEA KWA WATANZANIA WAISHIO HAPA UGIRIKI BAADA YA KUONA VIJANA WENYE ULEMAVU WA AKILI NA KUJICHUKULIA MEDAL NYINGI NA KUITANGANZIA NCHI YA TANZANIA KAMA INAWEZA KWELI KUFANYA KWELI ..! BAADA YA KUPATA HISTORY YA KIKOSI HICHO NI INASIKITISHA SANA SAFARI NA JINSI VIJANA HAWO WALIVYOJITUMA KWA USHUJAA WA HALI JUU MNO NA WANASTAHILI PONGEZI KUBWA SANA ! HAYA LEO HAWA VIJANA WAMEFANYA KWELI HAPA ATHENS.
MW/MUNGU IBALIKI TANZANIA IZIDI KUSONGA MBELE KIMICHEZO
TUSIWE NYUMA ! EBU CHUKUENI DAKIKA MOJA TU KUFIKIRI HAWA VIJANA WAMEFANYA KWELI JE? WALIOKUWA WAZIMA INAKUWAJE KWENYE MASHINDANO KAMA HAYA WANARUDI NYUMBANI HATA MEDAL MOJA !!!!!!!!!!!!
HAPA WAKIWA NA YASSIN A.K.A MKOLA WAKIWAPELEKO KATIKA SEHEMU ZILE MUHIMU MUHIMU HAWA VIJANA WALIOKUJA KUSHIRIKI MASHINDO YA OLYMPIC
KIKOSI KAMILI CHA WANAMICHEZO WALIOWAKILISHA TANZANIA NA KUJICHUKULIA MEDELI KEM KEM HAPA ATHENS WAKIWA PAMOJA NA MDAU KASA MUSSA WA JUMUIYA YA WATANZANI UGIRIKI (SHOTO JUU)
WANAMICHEZO WETU WA KITANZANIA WAKITEMBEZWA NA MAMA ILUNGA NDANI YA JIJI LA ATHENS
KIKOSI CHA WANAMICHEZO WA SPEACIL OLYMPIC WAKIWA PAMOJA NA WATANZANIA KATIKA KUWAPONGEZA KWA USHINDI WAO MKUBWA NA KUITANGAZIA TANZINIA KTK MICHEZO HII YA WALEMAVU WA AKILI






Yaani Wamewapeleka Kwenye Fujo.!?!!?!?!?!!!!
ReplyDeleteWatanzania hamjui kukimbia. Tukodisheni sisi wakenya tukawasaidie mshinde hata angalau mpate medali kadhaa.
ReplyDeletewe si mkenya,mkenya gani akaandika kiswahili hicho,pili aloleta hii habari inaonekana hata kiswahili ameshasahau anaongea kimanga sasa,WAKIWAPELEKO SEHEMU MUHIMU MUHIMU,KUJICHUKULIA MEDELI KEM KEM,DUH,SE PARAKALW FILE MOY
ReplyDelete