Warembo wa Redd's Miss Kinondoni wakiwa wamebeba bidhaa kwa ajili ya kuwakabidhi watoto yatima wa kituo cha THM.
Washiriki wa Redd's Miss Kinondoni wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wa kituo cha kulelea watoto yatima cha TMH (Tanzania Mitindo House) mara baara ya Warembo hao kuwapatia msaada wa vyakula na mahitaji mengine watoto wa kituo hicho.
Warembo wa Redd's Miss Kinondoni wakicheza muziki pamoja na Watoto hao.
Huenda nia ikawa njema, lakini wajaribu kuwa wabunifu ili ziara ya hao mamiss iwe na manufaa fulani (zaidi ya kula) kwa watoto hao. Mfano, michezo ya kujenga afya, ubunifu wa vitu mbalimbali kupitia kuchora, kuchonga nk, simulizi tu mbalimbali za historia nk. Kucheza muziki na hao watoto sijui kuna manufaa gani!
ReplyDelete