Mshambuliaji wa kimataifa wa Zambia,Felix Sunzu (pichani) anatarajiwa kuwasili nchini leo tayari kwa kuja kujiunga na timu ya Simba ya jijini Dar.
Sunzu ambaye ni moja ya wachezaji waliong'ara katika michuano ya CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP yaliofanyika mwishoni mwaka jana, ameachwa na timu yake ya Al Hilal ya Sudan baada ya kushindwa kuonyesha uwezo mkubwa na hivyo kupelekea nafasi yake kuchukuliwa na raia mwingine wa kigeni ndani ya timu hiyo.
kwa habari zaidi za michezo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...