URBAN PULSE CREATIVE ikishirikiana na True Talk Records Company inapenda kuwaletea program mpya ya tv inayoitwa Friday Night Freestyle special. Hii ni Reality Programme yenye mchanganyiko wa ucheshi, ubunifu wa kushika Mic mtaani mbele ya kamera na kuonesha vipaji kutoka kwa wasanii waliopo hapa UK. Programme hii itarushwa kwenye TV Hapa UK na baadhi ya Nchi jirani za Ulaya. Vilevile kutakuwepo na zawadi mbalimbali kwa washindi na recording deal mwishoni mwa series.
Asanteni
URBAN PULSE CREATIVE
Mmemuiga FID Q na Friday Show yake kwenye CHEUSI DAWA TV...
ReplyDeleteWazo zuri lakini hata kubadilisha siku ya hiyo show mmeshindwa? Ila kina Kala Pina na Cheusi TIIII VIIII wanapatikana hapa www.youtube.com/cheusidawa
ReplyDeleteMmoja nilifikiri Sol Cambell. Jitahidi zaidi, hiyo microphone mbona ina cable refu kama hilo utafikiri uko bongo bwana!
ReplyDeletenawaunga mkono hao wachangiaji wawili wa hapo juu, hawa jamaa wanajaribu kuiba idea ya Fid Q.. ndo maana waafrika hatuendelei, ubunifu zero kabisa
ReplyDelete