Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Issa Machibya,( mwenye suti) akifurahiwa mara baada ya Dk Mary Rose Giattas ambaye ni Mratibu wa Programu ya Kukinga na Kuzuia Saratani ya Mlango wa Kizazi kutoka Shirika lisilo la Kiserikali la JHPIEGO, wakati wa kukabidhiwa kifaa cha kutibu Mabadiliko ya Awali ya Saratani ya Mlango wa Kizazi na vitu vingine kwa Uongozi wa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro juzi ,ambavyo thamani yake ni Shilingi Milioni kumi
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Issa Machibya,( mwenye suti) akiwa na Mwakilishi Shirika lisilo la Kiserikali la JHPIEGO pamoja na Viongozi waandamizi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, mara baaada ya Shirika hilo kukabidhi kifaa cha kutibu Mabadiliko ya Awali ya Saratani ya Mlango wa Kizazi kwa Hospitali hiyo.
Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii, Morogoro
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...