SI UNAKUMBUKA KUWA ZANZIBAR TUMEFANIKIWA KUDHIBITI MARALIA KABISA?  BASIHIKI NDIO KIKOSI KAZI KILICHOANZISHA VITA HIYO - MDAU ZNZ

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. yale yale ya LELI leo MARALIA. HUYU ALIYEANDIKA HIVI NI MZANZIBAR KWELI. ROSE ANAITWA LOSE. MWALIMU WANGU WA COMPUTER ALIKUWA ANASEMA NENO RINK SASA KWENDA KUANGALIA DICTIONARY SIKULIPATA IKABIDI NIMUULIZE, AH WACHA NICHEKE. JAMANI JIFUNDISHENI KISWAHILI KISWAHILI SIO MNACHANGA NA KILUGAAAAAA!!!!!!

    ReplyDelete
  2. NASHAURI KIKOSI KAZI HICHO KIHAMIE DAR,KWANI DAR KWASASA MBU NI WENGI KULIKO IDADI YA WATU.

    ReplyDelete
  3. Jamani haifai kudanganya kwa manufaa ya nani? Ni kweli Zanzibar malaria imepungua lakini siyo kutokomeza kabisa.

    Eti ukenda ukipima unaambiwa huna malaria lakini ukenda tena kimya kimya watakwambia ni kweli unayo lakini tumeambiwa tusiseme. Halafu wanakupa dawa kwa siri.

    Hii imetokea kwa husband na mtoto wangu kwa hivyo siyo kwamba nazusha tu.

    Tuseme ukweli ili tuweze kuwa na rekodi sahihi.

    ReplyDelete
  4. mie naudhika na hao wanaoharibu lugha yetu!eti bila AIBU, MARALIA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...