Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiongea na Waziri Mkuu mstaafu Mh Edward Lowassa bungeni Dodoma leo
Waziri wa Katiba na Sheria Mh Celine Kombani akipingezwa na Msajili wa Mahakama ya Rufaa Mh Francis Mutungi mara baada ya bajeti ya wizara hiyo kupitishwa mchana huu
Mh Celine Kombani akiwa na Katibu Mkuu wizara yake, Mh Mhaiki (wa pili shoto), CEO RITA Bw. Philip Saliboko (shoto) na maafisa wengine waandamizi wa wizara hiyo. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum Mh. Cynthia-Hilda Ngoiye
Ankal akiwa na Mbunge wa Kawe Mh Halima Mdee, Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dk David Mathayo na mdau bungeni Dodoma
![]() |
Mwenyekiti wa Bunge Mh. George Simbachawene akiwa na Msajili wa Mahakama ya Rufaa Mh Francis Mutungi bungeni leo |
![]() |
Mbunge wa Simanjiro Mh Christopher ole Sendeka na mbunge wa Nzega Dk Hamisi Kigwangwala leo |
n
Mbunge wa Musoma mjini Mh Vicent Nyerere akipozia na Ankal na mdau wa Cessena, Italy, Baraka wa Chibiriti ambaye naye yuko ndani ya nyumba
Wabunge wa Kizazi kipya. toka shoto ni Mh Selemani Jumanne Zedi (Bukene-CCM), Dr Hamisi Kigwangwala (Nzega-CCM), Mh, Joseph Mbilinyi Sugu (Mbeya mjini-CHADEMA), Hamad Yusuf Masauni (Kikwajuni-CCM), Mh Abbas Mtemvu )Temeke-CCM na Dk Faustine Ndugulile (Kigamboni-CCM)







Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu Maswali Bungeni, katika kipindi cha maswali na majibu kwa Waziri Mkuu leo Augost 25, 2011. kila siku ya Alhamisi ya wiki waziri mkuu huulizwa maswali ya ana kwa ana na wa wabunge. Mojawapo ya maswali aliyojibu leo ni kuhusu Rais kuelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini David Jairo kundelea na likizo kupisha uchunguzi dhidi yake.
Mbunge wa Viti Maalum, Dianna Chilolo akimuuliza swali Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika kipindi cha maswali Bungeni.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Watoto wa Mbunge wa Viti Maalum, Angellah Kairuki, Ester (kushoto) na Kemilembe kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Kamishina wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, Bw. T. Alexander Aleinikoff, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma leo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kibakwe , George Simbachawene kwenye viwanja vya BungeMjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Viwanda na Biashara,Dr. Cyril Chami kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Watendaji waSerikali za Vijiji na Viongozi wa CCM wa jimbo la Magu kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo. Kushoto ni Mbunge wao, Dr . Dr Festus Limbu.
Ankal please hebu tuwekee picha ya mbunge mdogo kuliko wote hapo mjengoni MUNTAZA MANGUNGU kutoka Kilwa mwambie Kaka yako James Biboze anataka akuone ukiwa mjengoni
ReplyDeleteWako
James
Mh Mbilinyi umependeza lakini usiache mazoezi maana naona umeongezeka uzito tangu nikuone mara ya mwisho Januari mwaka huu.
ReplyDeleteAnkal, huu ni mwezi wa toba, sasa iweje wao umemshika kiuno mheshimiwa? Ha ha ha ....
ReplyDeleteAnkel mikonos naona inaendelea.
ReplyDelete