Mbunge wa Korogwe Vijijini Stephen Ngonyani a.k.a Profesa Maji Marefu, akichangia hotuba ya bajeti ya wizara ya habari, vijana, utamaduni na michezo Bungeni dodoma Alhamisi jioni. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mh Mbunge ana simu nne mezani kwake mpaka ya pink ipo. Sasa anazibeba je zote hizo?

    ReplyDelete
  2. Kinachotakiwa hapo ni mchango wake katika kuchangia bajeti hiyo. kuwa na simu nne haihusu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...