TUNAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE WANAOISHI NDANI NA NJE YA TANZANIA KATIKA SIKU ZIJAZO ZA KARIBU TUTAFUNGUA TELEVISHENI. CHANELI YA MUZIKI WA KITANZANIA, KWA JINA LA TANZANIA MUSIC TELEVISION {TMTV} (WWW.TMTV.CO.TZ) AMBAYO ITAKUWA INAPATIKA KWENYE MTANDAO,SETILATI,SIMU ZA MKONONI NA VING'AMUZI(DECODER)

CHANELI HII ITAKUWA NA VIPINDI VIFUATAVYO:

1.BONGO BOX
2.SALAMU BOX
3.BENDI ZETU
 4.TAARABU
5.ZILIPENDWA
6.NYIMBO ZA DINI 
7.VIPAJI
8. HABARI ZA MUZIKI
9.SWAHILI HIP-POP
10.NYIMBO ZA UTAMADUNI

ILI KUBORESHA UFANISHI WA CHANELI TUNAOMBA MAPENDEKEZO YENU KUPITIA:
info@tmtv.co.tz
BONYEZA HAPA KWA KUANGALIA CHANELI
KWA KOMPYUTA NYINGINE UTALAZIMIKA KUDOWNLOD  SOFTWARE YA MICROSOFT SILVER LIGHT KWA AJILI YA KUANGALIA TV.
SOFTWARE ITAJITOKEZA KTK SCREEN KWA AJILI YA KUDOWNLOD. 

WENU

UTAWALA
TANZANIA MUSIC TELEVISION

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...