wajasiliamali toka nchini Uganda wanaoshiriki kwenye maonyesho ya nanenane yanayoendelea mkoani Kagera kwenye viwanja vya Kyakailabwa vilivyoko katika manispaa ya Bukoba wakionyesha bidhaa wanazozitengeneza.

wajasiliamali toka nchini kenya wanaoshiriki kwenye maonyesho ya nanenane wakionyesha bidhaa zao.
wajasiliamali wa kikundi cha Kolping wakionyesha bidhaa wanazozisindika ambazo ni pamoja na mvinyo, wajasiliamali hao wako kwenye banda la SIDO.Picha na Audax Mutiganzi,Bukoba

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...