Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini Mh. Zitto Kabwe(katikati) akijaza fomu jana ya kiunga na Mfumo wa kuwekeza Amana wa Mfuko wa Pensheni (PPF) katika kilele cha maonyesho ya wakulima nanenane mjini Dodoma wakati alipotembelea banda la Wizara ya Fedha. |
Mh Zitto Kabwe akipata maelezo ya PPF
Mh Zitto Kabwe akitoa nasaha baada ya kujiunga na PPF
![]() |
Mh Zitto Kabwe akikabidhiwa zawadi ya mwamvuli |
Katika picha ya pamoja na wafanyakazi katika banda la PPF
mh. ZITTO kanzu imekupendeza sana, kweli uislamu raha
ReplyDeleteKumbe uislamu ni kanzu! We mtoa maoni wa Tue Aug 09,02:52 PM, acha kuudhalilisha uislamu.
ReplyDeleteMdau Anonymous wa Aug09, 02:53:pm
ReplyDeleteKwa kukufahamisha tu kanzu si Uislamu bali kanzu ni vazi la kiarabu. Uislamu ni imani kuamini kitabu chake (Quran) Shahda na kufuata matendo na sunna cha mtume Muhamad S.A.W (amani iwe juu yake). ukitaka kujua nenda Lebanon, Syria na Egypt nchi za kiarabu ambazo kuna idadi kubwa ya wakristo na wanavaa kanzu 24/7. jirani tu na bongo Uganda vazi la kitaifa kwa wanaume ni kanzu na koti. unaweza ukavaa suti pande tatu, over roll (bwela suti) na hata gunia na iwapo ukiwa na imani safi basi wewe ni muislamu. kanzu ni vazi la middle east na lilivaliwa au linavaliwa karne na karne kwa kutokana na hali ya joto. please usiudhalilishe Uislamu kwa mgongo wa kanzu,baibui,kilemba au kofia . Uislamu ni Iman.
mdau Maalim mnuso UK.