Mke wa Rais wa Serikali ya mapinduzi Zanzibar,Mama Mwanamwema Shein (kulia) akizungumza na Mke wa Rais wa Burundi, Dkt. Denise Bucumi Nkurunziza katika Ikulu ya Zanzibar.
Mke wa Rais wa serikali ya mapinduzi Zanzaibar,Mama Mwanamwema Shein (kulia) akimpatia zawadi mbalimbali Mke wa Rais wa Burundi,Dkt, Denise Nkurunziza baada ya hafla ya futari katika Ikulu ya Zanzibar jana. Mke wa Rais Burundi yupo nchini kwa ziara ya siku sita.
Wanafunzi wa shule ya Sekondari maalum ya watoto yatima wanawake WAMA-NAKAYAMA iliyopo Wilaya ya Rufiji Mkoa wa Pwani (kushoto) inayoendeshwa na Taasisi ya WAMA wakimuonyesha Mke wa Rais wa Burundi Dkt. Denise Bucumi Nkurunziza (alievaa nguo ya brown) ambae ameongozana na mwenyeji wake Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (mwenye miwani) jinsi ya kuunganisha vifaa vya kompyuta ili viweze kufanya kazi.

Mwanafunzi Zainab Mussa wa shule ya sekondari maalumu ya watoto yatima WAMA-NAKAYAMA inayoendeshwa na Taasisi ya WAMA iliopo Wilaya ya Rufiji mkoa wa Pwani,akimuonyesha mazoezi ya vitendo katika maabara jinsi ya tofauti matumizi ya moto. Mke wa Rais wa Burundi Dkt. Denise Bucumi Nkurunziza (kushoto alievaa nguo ya brown) akiwa na Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA,Mama Salma Kikwete.
Picha ya pamoja ya Mama Mwanamwema Shein na Dkt, Denise Nkurunziza wa Burundi pamoja na baadhi ya viongozi wa taasisi mbalimbali za wanawake Zanzibar, (Picha na Mwanakombo Jumaa wa MAELEZO)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. duniani kuna watu warefu jamani!!!!!!

    ReplyDelete
  2. hahahhahaaa..yaani ndo icho mie mwenyewe nilichokiona hahaha!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...