Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Issa Machibya, ( kushoto) akimkabidhi funguo ya Pikipiki mpya aina ya Yamaha ,yenye thamani ya sh: milioni saba , Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Adolfina Chialo, kwa ajili ya kuimalisha ulinzi wa doria katika barabara kuu ya Mikumi- Kilombero eneo la daraja tano.Picha na John Nditi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. sasa wewe ras makunja na kofia nyekundu,unadhani utapewa hiyo piki piki uende nayo nyumbani? wakati mwingine ras makunja uwe mstaraabu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...