Habari za leo bwana michuzi,
Pole na swaumu...
Nakuomba uniwekee ombi langu hili kwa wadau, mimi kwa sasa naishi ughaibuni
na natarajia kuja likizo Tanzania mwezi wa kumi 2011 na familia yangu. natafuta nyumba ya kupanga kwa mwezi mmoja, iwe maeneo
ya makumbusho, mikocheni au maeneo ya karibu na hayo.
Kwa yeyote mwenye taarifa anaweza kuwasiliana nami kwa email: winnie_m@hotmail.co.uk
Asante sana kwa msaada wako bwana michuzi.
Mdau Ughaibuni
Pole na swaumu...
Nakuomba uniwekee ombi langu hili kwa wadau, mimi kwa sasa naishi ughaibuni
na natarajia kuja likizo Tanzania mwezi wa kumi 2011 na familia yangu. natafuta nyumba ya kupanga kwa mwezi mmoja, iwe maeneo
ya makumbusho, mikocheni au maeneo ya karibu na hayo.
Kwa yeyote mwenye taarifa anaweza kuwasiliana nami kwa email: winnie_m@hotmail.co.uk
Asante sana kwa msaada wako bwana michuzi.
Mdau Ughaibuni
Kwa mwezi mmoja si bora ungekaa hoteli, zipo hoteli nyingi tu sasa kwa watu kama nyinyi mnaotoka ughaibuni. Chukua Suite kama pale Movie and Pick au Kempiski ufurahiye holiday yako. Wana swimming pool na chakula cha viwango vya kiughabuni. Watoto wako hawatoweza kukaa uswazi wameshazoea mitaa yenye pavement, uswazi hakuna maji, umeme hakuna, mafuta ya kuwashia genereta hakuna.
ReplyDeleteMdau hapo umeniumiza mbavu.UKWELI MTUPU. nina swali moja.Mbali na hayo mashida yote uliyoyataja ukiungia wizi,mbu inakuwaje nyumba za tz kuuzwa bei zaidi ya ughaibuni? Hiyo sio kufuru?
ReplyDeleteNyumba yenye vyumba vingapi? halafu kama mdau alivyosema chukua apartment ambapo mtakuwa mnapika wenyewe. Pale lamada ilala, rates zao ni very reasonble. kama 60,000 per day ila kwa mwezi watakupa ahueni. ni two bedrooms, sitting na dining. ni pazuri ila mpaka uone kwani watu wameanza kuharibu vitu. sehemu zingine ni 35$ per day.
ReplyDeletekwani hujawahi kujenga Tanzania? jamani msijiwachilie ki hivo maisha ya ughaibuni ni kupahatisha siku likilia parapanda uwe na pakufikia pole kijana jipange vizuri next time ufikirie. Au labda uwenda kwa jamaa zako ukakae.
ReplyDeleteFIKIA KWENU WEWE LIMBUKENI, KUKAA ULAYA BASI IMEKUA NONGWA HA HATA KUFIKIA KWA SHANGAZI YAKO MABIBO AU BABA AKO MDOGO PALE TANDALE HITAKI AAAAAHHHHHHHH
ReplyDeletehahahahah wiiivuuuuu umewajaa haaaaaa kwani kaomba alipiwe jamani mtu aja na pesa zake mwenyewe alizobeba box,nguvu yake anataka ku spend binadamu tukoje jamani,angeomba kufikia ma kwenu pia mngeanza kumsema.na kujenga ni maajaliwa vilevile alaaaa..na me nikija niatafuta hadi gari ya kukodi mradi natumia nguvu zangu nilizo changa..
ReplyDeleteni hivyo hamumjui mngeanza kuagiza me laptop,camera,ipod.hahahahahahah wacheni wivuuuuuuu ulaya ulaya mtake msitake.
haaaaaahaaaaaaaa!!!!watu wanavituko balaaa!!sasa si kasema yuko na familia yake jaman?huenda dada yetu ana bwana wa kizungu dats y anataka amuonyeshe mzungu kuwa bongo kuna apartment!!!bongo ni bongo tu hapabadiliki kamwe naona ndo panakorongoka!!!haahaaaaa!!!!
ReplyDeletemi nikija nakodi hadi kituo cha mafuta ili nisigombanie mafuta!!haaahaa!!!
David muni
manchester!
Sisi watanzania vipi,tumelewa au ? Aje kujenga wapi? Tanzania? Yeye kishakwambia anaishi Ughaibuni. Mbona wewe huendi kujenga Ughaibuni? Mtu hajengi asikoishi. Kuwa smart. Sio maneno tu.
ReplyDeleteMbona sisi hatujengi makwetu Arusha, Tanga, Mara , wengi tunajenga DSM ? Mbona wenye uwezo mkienda nchi za nje mnafikia hotelini ? Kwanini hamjengi ughaibuni, ili mfikie mkienda vacation?
Na hili ndio tatizo letu sisi watanzania unamwambia mtu anaishi nje aje kujenga Tanzania, halafu ?. Mtu anajenga anakoishi.
we kaka david tatizo sio kwenda na mzungu hata kama mnigeria lakini mtu si anatumia chake wao kwa nini inawakera wanafki sana wivu tuu, mtu tena anaandika kwaherufi kubwa za msisitizo kama sio roho mbaya nini!!!!!!,hawana jema me nilikwenda 2yrs iliyopita wakaanza kusema eti kama hatoki ulaya yupo kawaidaa! ukiwaonyeshaa pia wanasema,we unadhani kutangaziwe visa za buree waone kama watazikataa???!! piga box la nguvu tukija tuna wapaza rohoo then tunaondoka mtaishia na miji neno yenu tuu watu haooooooooooo.hahahahahahahahahhaahaaaaaaa
ReplyDelete